Rafiki wa kiume wa holiday...

dah aiseee.....aya bwana
 
dah aiseee.....aya bwana

nini tena mrembo?i wish ningelikuwa na-qualify........hahahah!ila angalizo langu kama limekukwaza naomba unisamehe bure na nikutakie wakati mtamu kabisa,ukafurahie maisha.....RESPONSIBLY!!:wink2:

nini tena mrembo?i wish ningelikuwa na-qualify........hahahah!ila angalizo langu kama limekukwaza naomba unisamehe bure na nikutakie wakati mtamu kabisa,ukafurahie maisha.....RESPONSIBLY!!:wink2:

hujanikwaza hata mimi sio mtu wa kukwazika hata kaka! napenda sana furaha....more than u can imagine...naona roho inakuuma vile hujaqualify sio? so unataka nipunguze hapo .....vigezo na masharti...????? kUZINGATIWA
 
Vingine vyote nafuzu da mzuri<kasoro hicho tu cha mpenzi,sijui ndoa!!henu fikiria fikiria kupitia tena hiyo rasimu ya masharti tafadhali!!.....rutashubanyuma yuko wapi sijui anisaidie hapa!
 
Vingine vyote nafuzu da mzuri<kasoro hicho tu cha mpenzi,sijui ndoa!!henu fikiria fikiria kupitia tena hiyo rasimu ya masharti tafadhali!!.....rutashubanyuma yuko wapi sijui anisaidie hapa!
labda icho cha kushare costi tuseme hivi huyo mtu ndo atagharimia kila kitu..no sharing of cost hapo unasemaje mkuu?
 
Nikiwa misituni pamoja na kusikiliza sauti za ndege, kuangalia maua, miti nk, huwa napenda pia kuwinda, kuyachezea maua, kukata miti, kucheza mchezo wa kujificha, n.k. Kama pia una hizo hobbies tutafutane.
 
ha ha ha ha ha, Bishanga umenichekesha.

Ila wewe hujui tricky hapa.

Hujawahi fukuzia mlokole na wewe ukajidai mpendwa?

Muulize klorokwini hizi mbinu.

Mie napenda kuangalia kangaroo na michongoma.

Last edited by a moderator:
ndio maana namheshimu sana mwalimu wangu wa fasihi.

Kibabu EMT, unataka kujificha mapango ya amboni? Utaweza? usije zimia tu.

Nikiwa misituni pamoja na kusikiliza sauti za ndege, kuangalia maua, miti nk, huwa napenda pia kuwinda, kuyachezea maua, kukata miti, kucheza mchezo wa kujificha, n.k. Kama pia una hizo hobbies tutafutane.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT

poa mkuu
 
Reactions: EMT
ha ha ha ha ha, Bishanga umenichekesha.

Ila wewe hujui tricky hapa.

Hujawahi fukuzia mlokole na wewe ukajidai mpendwa?

Muulize klorokwini hizi mbinu.

Mie napenda kuangalia kangaroo na michongoma.
napenda kula sana yale matunda ya michongoma
 
Hiyo interest ya kusikiliza sauti ya ndege naona imenidisqulify kabisa ...
Huku boko ninakoishi, sauti za ndege zimenichosha maana wamejanga karibu ktk kila mti na wananisumbua sana na kelele zao za asbh na jioni! Ukiniambia tuwafuate tena porini .... Mhhh hapana!
Au kwa nini niskukaribishe tu nyumbani ukasikilizia hizo sauti za ndege ukiwa sehemu nzr badala ya porini?
 
je waterfalls,wadudu,miti ,maua,kuogelea...tutafanyia wapi hp?
 
wiki 2 tu, kila mtu atakuwa na hizo sifa.............................
 
labda icho cha kushare costi tuseme hivi huyo mtu ndo atagharimia kila kitu..no sharing of cost hapo unasemaje mkuu?

hicho pia namudu bila kwikwi.tatizo ni hicho nilichokwambia mwanzo tu.ukilegeza tu na hicho funga hii search kabisa kwani utakuwa umeshanipata!i love nature,sana,ila wasiwasi labda naweza kukuboa as naweza kuwa mkimya sana at times(could work on this,hata hivyo!).hii kazi ngumu sana kumbe jameni,nishaanza kusahau haya....lol!
 
je waterfalls,wadudu,miti ,maua,kuogelea...tutafanyia wapi hp?

Hilo ondoa shaka, ukishasikiliza sauti za ndege na kuburudisha akili yako (maana yangu imechoshwa na milio ya ndege), hapo tunaweza kwenda 'Paradise lost', Nairobi. Hili ni eneo zuri la ki-asili ambapo kuna maporomoka ya maji, wadudu, sehemu nzuri za kuogelea, pia kuna ngamia kama utakuwa interested kupanda na boat na pikipiki za kuendeshea majini. Naamini Smile nikikupeleka huko, akili yako itaburudika sana ....
Kama hajapapenda niambie nikapatie maeneo mengine ya nchi za jirani ukapate kuburudika na roho yako!!
 
ha ha ha ha ha, Bishanga umenichekesha.

Ila wewe hujui tricky hapa.

Hujawahi fukuzia mlokole na wewe ukajidai mpendwa?

Muulize klorokwini hizi mbinu.

Mie napenda kuangalia kangaroo na michongoma.

heheeh Kongosho bana, sio mimi bana lakini nilimshuhudia sharobaro flani alienda kijijini akajifanya mlokole sasa kuna siku alikuja mdada flani ana mapepo ya kinafik........ sharobaro akajisahau akaweka ile lugha yao.

Mlokole sharobaro: paradise (akimaanisha pepo), go out meen!
Mwenye mapepo :unasemaje?
Mlokole sharobaro : unapendeza sana ukiwa na mapepo meen!
Mwenye mapepo: (kumbe hana mapepo lolote alkuwa anatafta njemba ikampreeze tu) "heee mlokole una visa, yaani pepo katoka bila kukemewa mara mbili?"
Mlokole sharobaro: Huyu pepo made in sweden meen, inabidi atolewe kutwa mara tatu, nitakubip baadae tukamilishe dozi meen!

Mimi muogopa zambi nikaondoka zangu
 
Last edited by a moderator:
Moja ya kazi ngumu sana binaadamu aliyekamilika kuweza kuifanya bila kuharibu neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…