Rafiki wa kiume wa holiday...

Hapo tu mdio pagumu....kwingine kote poa!!
Noana pia hutukaki vibabu....

4-awe mkristo naitaji awe ananielezea habari za yesu kwa sana
Rejao, we Bweg.e Kumbe ndo wale wale Magamba wenye Fikra Mgando za kidini dini, Ndo Mana ukisiaga CDM tu Mavi yanagonga chupi
 
mimi mume wa mtu never! Vitu used sipendi mie
 
smile, please ukirudi naomba feedback, kama itawezekana! i cant wait to hear it.
 
Dada angu mie naona katika vigezo vyako ninavyo vingi kweli lakini haya masharti namba 6 si mchezo. Mimi nina miaka 31 kwahiyo hii inamaanisha kuwa ingekuwa mwakani ninge-qualify. Mimi ni Mwanaume, nisiwe na mpenzi kivipi sasa wakati ushasema tusiongelee masuala ya mapenzi wala nisikusifie. Nipo pande za mkoa wa Iringa, huku kuna misitu, mbuga za wanyama na kila kitu kinachofaa kwaajili ya ku-refresh ur mind. Naomba badilisha hicho kipengele tu ili nilete maombi yangu ya dhati kwako. Ol ze besti!!
 
ha ha ha ha ha, Bishanga umenichekesha.

Ila wewe hujui tricky hapa.

Hujawahi fukuzia mlokole na wewe ukajidai mpendwa?

Muulize klorokwini hizi mbinu.

Mie napenda kuangalia kangaroo na michongoma.
Kongosho,kumbe wewe hujamjua Smile,bishanga sio type yake bana,kwanza huu mkitambi huu smile atakubali wapi aonekane in publicum na lizee la hivo,mvi mpaka kisogoni.
Vekesheni yangu nitakwenda na bi mkubwa Eliza wa Tegeta.
 
Last edited by a moderator:
Best of lucky, maana hapo nina moja tu, ya cheti cha kuzaliwa.
Nacho ni certified copy of the original
 
hiyo kali smile.umenifurahisha.sijui atapatikana maana mashart mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…