Rafiki wa kiume

Rafiki wa kiume

Ni Niko tayari ila elimu yangu form four, miaka pugufu kidogo ya 32, naishi mwanza...kama uko tayari tuyajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kumbe ndoa siku hizi hadi kijana awe na elimu ya Chuo Kikuu!! Inamaana elimu ya Chuo ina-aply chumbani basi nashauri pia MTU aseme elimu ya nini,mfano digri ya ualimu,sanaa, dokta nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni muhimu na miaka ijayo watataka kuolewa na PhD holders jitahidi kuongeza elimu. Mwanamke yupi atataka kuishi maisha na mtu ambaye hana angalau digrii moja! Au siyo mahondaw wangu na Smart911
 
unajua unaweza kuwa mbayaaaa halafu watu wakaona kawaida tu, pia unawezakuwa uko vizuriiii watu wakaona kawaida pia, hebu specify....mfupi au mrefu, mweupe au mweusi, kazi yako, mshahara etc

nini vigezo vyote hapo kasoro umri tu kama utaweza kunivumilia kwa miaka 2 itakuwa poa
 
Hii ni muhimu na miaka ijayo watataka kuolewa na PhD holders jitahidi kuongeza elimu. Mwanamke yupi atataka kuishi maisha na mtu ambaye hana angalau digrii moja! Au siyo mahondaw wangu na Smart911
Inamaana wote hao ni wako....poa ila Mimi nimeshakuwa na watu wenye digrii zao ila mimi form four...lakini mwisho wa siku wao ndio wanapenda zaidi...ila wengi wa humu nimeona elimu inahitajika sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua unaweza kuwa mbayaaaa halafu watu wakaona kawaida tu, pia unawezakuwa uko vizuriiii watu wakaona kawaida pia, hebu specify....mfupi au mrefu, mweupe au mweusi, kazi yako, mshahara etc

nini vigezo vyote hapo kasoro umri tu kama utaweza kunivumilia kwa miaka 2 itakuwa poa
Ndio maana sitaki watoto unaanzaje kutaja mshahara mbele za watu
 
Habari zenu members wa mmu. Mimi ni mdada umri miaka 26 years mKristo ninafanya kazi (mkoani) kutokana na nature ya kazi yangu nipo busy sana mpaka nakosa muda wa kujumuika na watu baada ya kupitiapitia mirejesho baadhi humu nikaona wengine wamefanikiwa na mimi nikaona niweke wazi kinachonisumbua nikiamini kuwa nitampata muonekano wangu ni wa kawaida tuu. sifa za nimtakae umri miaka 32..... awe hajawahi kuoa (ndoa) elimu kuanzia bachelor asiye vuta sigara,mlevi hapana kama ni pombe awe anakunywa kiasi, awe na kazi au shughuli yoyote ya kujikwamua kimaisha kwa Maelezo zaid pm nipo serious mizaha hapana . Nawasilisha
Kila la kheri bidada ila to be honest hakuna mnywaji wa pombe kiasi hayupo
 
Inamaana wote hao ni wako....poa ila Mimi nimeshakuwa na watu wenye digrii zao ila mimi form four...lakini mwisho wa siku wao ndio wanapenda zaidi...ila wengi wa humu nimeona elimu inahitajika sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulikimbia umande kama mimi!

Ila bado kwa navyojiamini nisharusha maombi PM liwalo na liwe. Sijaribiwi mimi.
 
Mkuu ulikimbia umande kama mimi!

Ila bado kwa navyojiamini nisharusha maombi PM liwalo na liwe. Sijaribiwi mimi.

Duuuu,h,

Mkuu, [HASHTAG]#Daby[/HASHTAG], nilijua hili dodo chini ya mbigiri lisingekupita. Maana , juzi pm ya [HASHTAG]#Paulinaray[/HASHTAG] ilikutema ukalalama sana.

Kila la kheri.

Mimi niliisha funga hiyo kazi niko Tanga, Nashukuru , mkoa wa Tanga kuwa Tanzania
 
Afadhali paulinary alinikata maana ilikuja kugundulika ni mwanaume...

Leo sitawaangusha aseeh. Wasalimie Tanga
 
Afadhali paulinary alinikata maana ilikuja kugundulika ni mwanaume...

Leo sitawaangusha aseeh. Wasalimie Tanga

Duuuuuuh,
Kwa hiyo alitaka achimbwe makinikia!? Yesu na Maria na Mtume!!!

Bora ndugu yangu ukakosa hiyo nafasi maana sasa hivi tungekuwa tayari tunaomboleza.

Duuuuuuh!!

Kumbe, paulinaray ni Obamalization!?

Nitawasalimu, Tanga.
 
Back
Top Bottom