Habari zenu members wa MMU,
Mimi ni mdada umri miaka 26 years mkristo ninafanya kazi (mkoani) kutokana na nature ya kazi yangu nipo busy sana mpaka nakosa muda wa kujumuika na watu baada ya kupitiapitia mirejesho baadhi humu nikaona wengine wamefanikiwa na mimi nikaona niweke wazi kinachonisumbua nikiamini kuwa nitampata muonekano wangu ni wa kawaida tuu.
Sifa za nimtakae umri miaka 32, awe hajawahi kuoa (ndoa) elimu kuanzia bachelor asiye vuta sigara, mlevi hapana kama ni pombe awe anakunywa kiasi, awe na kazi au shughuli yoyote ya kujikwamua kimaisha kwa maelezo zaidi pm nipo serious mizaha hapana.
Nawasilisha