Rafiki wa kuchat anatafutwa

Rafiki wa kuchat anatafutwa

Habari zenu,naitwa epi Niko dar umri miaka 30 natafuta marafiki wa kuchat nao na kurelax akili yangu.angalizo naitaji marafiki tafadhali na cyo wapenzii tuwasiliane kupitia namba 0746464271 Asante
Sawa ngoja nikucheki
 
Habari zenu,naitwa epi Niko dar umri miaka 30 natafuta marafiki wa kuchat nao na kurelax akili yangu.angalizo naitaji marafiki tafadhali na cyo wapenzii tuwasiliane kupitia namba 0746464271 Asante
Enzi zetu kutongoza tu mwanamke ilikuaga shughuli pevu kabla ya kumpata, ila skuhizi maisha yamebadikika kwa kasi na technology imerahisisha kilakitu..😊
 
Uko mtaani kwenu hakuna marafiki mkuu Epi?
 
Miaka 30 bado unatafuta marafiki wa kuchat sio? Aisee
 
Enzi zetu kutongoza tu mwanamke ilikuaga shughuli pevu kabla ya kumpata, ila skuhizi maisha yamebadikika kwa kasi na technology imerahisisha kilakitu..😊
Mimi siitaji mpenzii tafadhali naitaji rafiki tu
 
Hivi urafiki wa kuchart tu Kati ya Mwanaume na Mwanamke bila majambo mengine kuingia Kati inawezekana ?
 
Back
Top Bottom