Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Ooh okay, beautiful name.Epi means epifania
Haha mimi naweza binafsi. Kuna ma she washkaji zangu wala siwatamani kabisa. Tunachat kama wana.Hivi urafiki wa kuchart tu Kati ya Mwanaume na Mwanamke bila majambo mengine kuingia Kati inawezekana ?
Kuna mtu anatafutwa soon kitawaka!Habari zenu,naitwa epi Niko dar umri miaka 30 natafuta marafiki wa kuchat nao na kurelax akili yangu.angalizo naitaji marafiki tafadhali na cyo wapenzii tuwasiliane kupitia namba 0746464271 Asante
Mimi inawezekana ikiwa kuna KaConnectio before mfano labda nlikuwa mnaishi mtaa mmoja au classmate ,mfanyakazi mwenzangu nk na sio wa ghafla tu.Haha mimi naweza binafsi. Kuna ma she washkaji zangu wala siwatamani kabisa. Tunachat kama wana.
Amen kaka ila siitaji mchumba ndugu nashukuru kwa ushauri piaaUmri wa miaka 30 unabidi kuwa unamtafuta Sana Mungu ndo utaweza Kupata mchumba
Dunia imebadilika bila kutumia Nguvu za kiroho hauwezi Kupata hitaji la moyo wako kirahisi don't believe that things happens accidentally.
You need to settle down and pull off ur shit stuffs. And pray more to GOD
Usitumie nguvu kubwa kujitetea, hakuna aliesema unahitaji mpenzi....πMimi siitaji mpenzii tafadhali naitaji rafiki tu
NoHivi urafiki wa kuchart tu Kati ya Mwanaume na Mwanamke bila majambo mengine kuingia Kati inawezekana ?
Mimi mwenyewe hapo najiuliza kwamba Mnakua mnachat Nini hasa muda wote ......? π€£π€£π€£πHivi urafiki wa kuchart tu Kati ya Mwanaume na Mwanamke bila majambo mengine kuingia Kati inawezekana ?