Rafiki Wa Kweli

Blue_001

Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
28
Reaction score
15
ndugu wana jf ni muda sasa tangu nimeungana na jumuiya hii ya jf,,,nimeamua kuandik thread hii kwa lengo la kutafuta marafiki wa kweli kama kichwa cha habari kinavyojieleza,,,,
Nina umri wa miaka 22,,(male/mvulana),,napenda music,,sipendi marafik wanafik,,,nahitaj rafik tutakae badilishan nae mawazo mbalimbali ya kimaisha na changamoto zake aliye tayari anichek pm,,
 
Rafiki mnafiki yukoje, isije kuwa hata wewe ni rafiki mnafiki, harafu unatafuta marafiki wa kweli.
 
mimi mnafiki maana naweza sapoti kitu humu na huwa sifanyi,,naweza toa ushauri wa kimasihara humu nasema A badala y aB siku zingina naweka ukweli nasapoti au nashauri vizuri so mimi skifai kuwa swahiba wako wa JF.....ya humu ni half reality half lies
 
Utapataje rafiki wa kweli wakati wewe ni tapeli?

Mkuu lipia basi lile bando nililokuunga jana yaan umekuja ukiomba nikuunge bando baada ya kufanikisha hata simu hupokei!.
Jamii forums kuna wahuni wengi ndo maana hatuaminiani humu!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…