Rafiki wa mpenzi wangu wa zamani ananitaka

Rafiki wa mpenzi wangu wa zamani ananitaka

HUKU ABROAD

Senior Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
127
Reaction score
218
Hii ni wiki Sasa jaman nimekuwa nikipokea txt za I miss you , uko wap sikuhiz , njoo kwangu

Hizo zote nimeogopa kujibu kwasababu nimehisi ananitaka kimapenzi na mengine naona Hata haibu kuandika humu, lakini naomba ushauri je nipite nae jaman au nifanyeje?
 
Mtu ambae ashafanya maamuzi ya uhakika hawezi kuja kuomba ushauri kwa Jambo Kama hilo!. Kisaikolojia tunasema ushamtamani ingekuwa humtamani usingeyasumbua maandishi uliyoyaandika humuushaur
 
Haya matatizo yote yataisha tukipata katiba mpya, wananchi tujitahidi tupambane ili tupate katiba mpya itakayosaidia kuweka bayana haki zetu za msingi katika mambo kama haya !
Katina haiwezi include mapenzi aiseee
 
Mimi ndo y wake siumeona text ya kuomba pesa mtumie tukale bhn
 
Back
Top Bottom