Rafiki wa mpenzi wangu wa zamani ananitaka

Utoto raha sana.
 
Kweli we ni kilaza unapost ujinga
 
Kuna siku humu JF tutakuja kuulizwa ….eti “wakuu mavi yamenibana, ninye au nisinye?”
Thread za kitoto zimezid sana…..au ndo akili za Vijana wetu nini wa siku hizi?
 
Kuna siku humu JF tutakuja kuulizwa ….eti “wakuu mavi yamenibana, ninye au nisinye?”
Thread za kitoto zimezid sana…..au ndo akili za Vijana wetu nini wa siku hizi?
Umesema kweli kuna watu wapuuzi sana kama huyu Richard
 
Kuuliza SI ujinga Bali anaeulizwa na kuuliza swali ndio mjinga .. usikubali kuwa mjinga
Wala usibishe, ulichouliza ni cha kijinga. Jaribu ku-grow up a bit. Hata ile thread yako ya sijui girlfriend/mchumba kapata scholarship na kakuacha haina maturity content yeyote. Better uwe msomaji rather than typing low content threads. Ni hayo tu mkuu.
 
Aisej vijana wenzangu wanapotea taratibu tu

Sasa ni ushauri gan unaomba??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…