Rafiki wa sintah, kanumba mbaroni kwa unga

Simba Mkali

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
620
Reaction score
239
Saada Saada na Sintah Saada na Kanumba
Jana msichana huyu aitwaye Saada alifikishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu kwa kosa la kutaka kusafirisha Madawa ya Kulevya kupitia Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar.
 
KWA HABARI ZAIDI SOMA HAPA
A BUSINESSWOMAN, Saada Kilongo (26), appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam yesterday charged with trafficking narcotic drugs worth more than 170m/-.

Before Senior Resident Magistrate Nyigulila Mwasebo, the accused was not allowed to enter any plea to the charge. She was remanded until July 10, this year, when the case will be mentioned.
State Attorney Peter Maugo alleged that on June 24, this year, the accused, a resident of Mbezi beach Rainbow was found trafficking narcotic substances namely ephedrine HCL at Julius Nyerere International Airport (JNIA). The prosecutor said that the drugs were valued 170,481,000/
 
Amekamatwa akianza safari. Inaonekana ni mgeni kwenye biashara ya madawa.
 
Amekamatwa akianza safari. Inaonekana ni mgeni kwenye biashara ya madawa.

Huyu demu ni rafiki yangu wa Facebook aisee.
Juzi kati ka-upload yuko South Africa, ghafla after a week aka upload yuko Dubai, nikajua tayari tushampoteza .
 
He he he he si ndo mishe za mjini bana he he he
 
Wanawake na pesa za haraka haraka...tunakoelekea ni kubaya
 
tena kamaliza degree ya kwanza chuo cha ustawi wa jamii. alikuwa na mashauzi ya kufa mtu kumbe PUNDA!!
 
Ni nani anayewatumia hawa vijana. Maana wakikamatwa huwa baada muda mfupi wanaachiwa
 

Leo ni 11th July Mkuu. Tunaomba continuation kuhusu hii kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…