Namtafuta mwanamke awe rafiki wa dhati, mwishowe tufanye maisha pamoja. Awe mrembo, anajiheshimu, amesoma angalau hadi polytechnic ama college. Umri usipite 34, awe mkristo, na asiwe na mtoto. Mwanamke mwenye mapenzi ya kweli, heshima na ako tayari kuwa na familia.
Mimi nina miaka 31, naishi Kenya, mjini Kitengela. PM tujuane zaidi.
Sent using
Jamii Forums mobile app