Rafiki yangu afanyaje apone haraka kidonda

Rafiki yangu afanyaje apone haraka kidonda

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,839
Reaction score
1,902
Habari wadau/wataalamu!

Nina Rafiki yangu wa kike allijifungua kwa Operesheni....kidonda kinachelewa kupona yaani bado kibichi tangu mwezi wa NANE.

Afanyaje? Au ale vyakula gani?
 
Kama alikuwa anapaka mkorogo wenye kemikali Kali hadi tumboni anachichubua hapo itamgarimu
 
Awe anapaka yuso au spirit, inawezekana ni mnene na tumbo lake lina mafuta ndo maana anachelewa kupona, pia aache kazi nzito na za kuinama kama kudeki, kitapona tu
 
Back
Top Bottom