Rafiki yangu amemfuma mke wake na katoto kenye miaka 16

Nimemwambie usikute hata hiyo mimba ni ya ako kadogo amekata simu
Hamna,
Mimba inaweza kua yake kweli.

Hiyo unayosema imewai mtokea mke wa jamaa angu mmoja anaendesha malori ya transit miezi 3 hayupo.

Akirudi Ni sikU 2 afu anaondoka.

sikU moja kaja ghafla kamkuta mtoto wa marehem Kaka ake (age 12) kifuani mwa mkewe.

Iyo ishu ilileta shida mpaka leo Hana maelewano mazur na ndugu zake upande wa baba ake.
 
wanawake ni nouma ningekua mimi namfungulia wife kesi ya ubakaji apigwe mvua 30 maana ni aibu
 
Kabisa. Wengi wakiona hivyo wanajua labda huyo kamzidi jamaa. Kumbe wife kuliko kukimbilia huko kuwasaka kistaarabu bora nijipooze alie karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…