I have my friend, ameshawahi kuwa na uhusiano na wasichana 3 ambao sasa hivi wote wamekuwa machangudoa wanajiuza! Huyo wa kwanza alidumu naye kama mwaka,then wakaachana kuna mshkaji alimuona corner one day, siku 2kaenda kuhakikisha if its true kweli 2kamkuta yule msichana anauza,tulipomwibukia akatupotezea akijifanya hatufahamu! Mwingine aliwahi kuishi naye kama 3 months hivi then wakaachana,siku 2meenda kona kujiachia uknowingly 2kamkuta anauza mbusa but hatukumshtua! Me nimemshauri akacheki ngoma coz alikuwa anawaamini sana wale madada kiasi kwamba sometimes alikuwa anawagonga kavu! So jamaa anamawazo sana,anajiona ana bonge la gundu duniani!!