Trial balance
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 202
- 160
Rafiki angu alizaliwa ivyo kama unavyomuona je kuna lotion yoyote ambayo inaweza kumsaidia au ni genetics tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafanya shughuli gani, hasa zinazoshirikisha mikono au viganja.Rafiki angu alizaliwa ivyo kama unavyomuona je kuna lotion yoyote ambayo inaweza kumsaidia au ni genetics tu?
View attachment 1486053
Hajawahi jichubua! Hafany kazi ngumu kazaliwa ivyo ivyo ni vidole tu vipo ivyo sehem nyingine ni mlaini tu.Anafanya shughuli gani, hasa zinazoshirikisha mikono au viganja.
Mfanya mazoezi/Bondia hasa asietumia gloves huwa na alama kama hizo, kwa wanawake wanaojichubua huwa nazo pia. Hujui historia ya rafiki yako.
Sawa kwaiyo afanyeje mpendwa maana anataka kupendeza nae kama wengine.Sioni sugu hapo,hivi unazijua sugu wewe sema rafiki yangu ana vidole vyeusi kama kaniki tutakuelewa na sio sugu
Mwambie ajiunge na JF ili aambiwe direct nini afanye. Kwani ina cost kiasi gani kufanya registration?Sawa kwaiyo afanyeje mpendwa maana anataka kupendeza nae kama wengine.
Huyu Rafiki Yako Ni Mwanamke Ama VpSawa kwaiyo afanyeje mpendwa maana anataka kupendeza nae kama wengine.
Sio kila mtu ana smartphoneMwambie ajiunge na JF ili aambiwe direct nini afanye. Kwani ina cost kiasi gani kufanya registration?