Rafiki yangu anahitaji Arm rest ya gari

Habari wadau
Rafiki yangu anahitaji Arm rest ya gari kama hiyo nimeweka sample ila iwe rangi Grey
Kama uko Dar nenda hapo Mabibo Sokoni ingia ndani wanakouza spare huko hutakosa
 
hahaha poa, unaweza kuwa na mawasiliano naye uni Pm namba yake?
Namba sina kiongozi, ila ukiingia tu pale uliza jina hilo yuko popular sana labda awe amehama, hata hivyo watakuambia alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…