Rafiki yangu anahitaji Uraia wa Marekani naomba msaada

Rafiki yangu anahitaji Uraia wa Marekani naomba msaada

Usokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2019
Posts
533
Reaction score
624
Majamaa,

Kuna msela wangu yuko mtoni ananiuliza kama aukane uraia wa Tanzania na kuchukua wa nje. Bongo hakuna dual citizenship.

Mimi nimemwambia Bongo hakuna issue akae tu huko. Je, wadau mnasemaje?
 
Hakuna sehemu nzuri kama kwenu, haijalishi kuna magumu kiasi gani na hakuna kitu kibaya kama kurudi kwenu ukiwa kama mgeni
 
Achukue tu, bongo michosho tu akirudi bongo anarudi kama mtalii tu huku mitaa yote anaijua, sioni tatizo katika hilo.
 
Dunia yote ni yawatu
Hata huko mamtoni ni kama home utofauti upo kwenye mazingira na technology

Achukue maamuzi magumu
 
mshauri achukua PRP ni safi mno,uraia wake wa kitanzania anakua nao na haki zote za wamarekani atapata isipokuwa kupiga kura(kwa wengine sio muhimu sana hili).
 
Back
Top Bottom