Bora kama anamwambia kama anataka kuridhishwa kila saa, kuna wengine wangeshaanza kutafuta alternative. Kama ni miezi mitano itakuwa bado ni mshamba wa muhogo, akishauchoka atatulia mwenyewe.
Chengine kama ni housewife kwasasa inabidi amtafutie kazi ya kujishughulisha itakuwa akirudi home amechoka na labda mawazo yake yatahamia kwengine.
.azingatie kuwa wanawake wengi huwa hawafiki kileleni wengi huwa ni wasanii wanajiliza au kelele za kinafki umuone ana enjoy kumbe hana lolote mwisho wa siku anakupandisha midadi zaidi unamaliza kabla yake kisha yeye anaanza kudai upya
Salam Wana JF
Kuna rafiki yangu wa karibu ambaye tumeshibana sana, toka ameoa sasa ni mwezi wa 5 , Jana nilikuwa naye akanieleza matatizo anayoyapata toka kwa mkewe. Aliniambia kuwa anajitahdi sana kumridhisha mkewe kwa tendo la ndoa, lakini huyu mke wake amekuwa akitaka sana mchezo kuzidi uwezo wake.
Kila mara mkewe anataka. Akikaa kuangalia tv sitting room mkewe huwa anamvutia chumbani na kumtaka ampe raha, Akimwambia amechoka, mkewe huwa analalamika sana, mara nyingine hulalamika kwa sauti kubwa mpaka rafiki yangu anahofia majirani wasije kusikia. Sasa hili jambo limekuwa kero mpaka siku hizi amebuni safari za mikoani na kumdanganya mkewe anasafiri kikazi ili aepukane na balaa la nyumbani. Kiukweli huwa haendi mikoani bali anakwenda gest kulala mpaka akijisikia ndio anarudi nyumbani na kuzuga anatoka mkoani.
Ameniomba nimpe ushauri afanye nini ili aweze kusolve hili tatizo, Wana Jf nimekuja kwenu kupata ushauri wenu ili niweze kumsaidia
hahahah we boflo hawezi hiyo kitu si ashasema au>>>>>>Kamanda hebu tuweke waz, mwenye shida ni ww au rafik yako? manake kwa jibu hili hakuna shaka mhusika ni WEWE.
Mi nafikiri tufike wakati tuwe wa kweli ili mtu aweze kutusaidia, kama kuna tatatizo kwa nn umpakazie rafiki yako?
kabla ya kuendeelea sema mkewangu ananichosha jamani acha kusingizia watu kabla ya kuendeleaSalam Wana JF
Kuna rafiki yangu wa karibu ambaye tumeshibana sana, toka ameoa sasa ni mwezi wa 5 , Jana nilikuwa naye akanieleza matatizo anayoyapata toka kwa mkewe. Aliniambia kuwa anajitahdi sana kumridhisha mkewe kwa tendo la ndoa, lakini huyu mke wake amekuwa akitaka sana mchezo kuzidi uwezo wake.
Kila mara mkewe anataka. Akikaa kuangalia tv sitting room mkewe huwa anamvutia chumbani na kumtaka ampe raha, Akimwambia amechoka, mkewe huwa analalamika sana, mara nyingine hulalamika kwa sauti kubwa mpaka rafiki yangu anahofia majirani wasije kusikia. Sasa hili jambo limekuwa kero mpaka siku hizi amebuni safari za mikoani na kumdanganya mkewe anasafiri kikazi ili aepukane na balaa la nyumbani. Kiukweli huwa haendi mikoani bali anakwenda gest kulala mpaka akijisikia ndio anarudi nyumbani na kuzuga anatoka mkoani.
Ameniomba nimpe ushauri afanye nini ili aweze kusolve hili tatizo, Wana Jf nimekuja kwenu kupata ushauri wenu ili niweze kumsaidia
mpe msaada na upande wa pili ikiwa atozaa ama kukamata mimba akimbie nyumba ama??msaada bbakizaa ataacha hizo hamasa zake, duuu hata kwenye dini tumeambiwa tuwe na kiasi, mpe mimba huyo utapumzika kaka angu
Unajua mpaka wameoana ina maana walimatch tabia, kwa hiyo ajiswitch tu hakuna kitakachoshindikana, tembelea kivulini pale ukale supu ya pweza maana una jinamizi hilo halitakwacha lolmpe msaada na upande wa pili ikiwa atozaa ama kukamata mimba akimbie nyumba ama??msaada bb
Kumbe ?
Mi siku zote hua najidanganya nikidhani hii maneno ya "Kuwachapanao" ni issue mderero kumbe kwangine ni shughuli ! Mpaka mtu anaumwaga .