Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

Umeandika kama vile wewe ndio shoga mwenyewe. Nini hasa lengo la kutaka uweke hapa namba za huyo bwabwa? Kama issue imempqtq rafikiyo, namba za shoga alikupq za nini?
 
Mi nakwambia siku jamaa akikubali kumtindua hata kuja kukuambia

Huyu jamaa yako inaonekana anapenda mambo hayo et anaomba ushauri

Yaan huyo yupo kwene mkwamo wa kimaadili Vs Pesa.
Maadili anataka na pesa anaataka.

anashindwa nn kumlima block kila kona…. ana enjoy kutongozwa
 
Hata mm naisi jamaa angu anamuendekeza San huyu shoga ni kitambo tu aliniambia ila jana ndio imekuwa kali jamaa alipost picha yake dp shoga anamfTa na kumuambia kipara nimekumiss jmn"
mchunguze jamaa yako labda ni bisexual
 
😂😂😂mzee tuelezee mtu mwenye festa anakuaje
 
Mambo mengine bana. Ukitongozwa una haki ya kukubali au kukataa. Jamaa yako anashindwa kusema hapana? Hakuna kitufe cha block kwenye simu yake...

Ni suala la muda tu ataliwa yeye
Nafuatilia comment zako kwa umakini
 
Ulikataa kisamvu
 
Mashoga huwa wanatarget mtu ambaye anawa entertain. Kwann yeye bado anamruhusu huyo shoga kumtafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…