Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

Hakika siyo ya kutunga kila siku nataka niilete nakosa muda ila ni kweli na uhakika jamaa wa tamisemi ametongwazwa na afsa wa bank
sibishi, hayo mambo yapo, hayo majitu hutongoza wanaume wenzao bila aibu yakapigwe miti
 
sibishi, hayo mambo yapo, hayo majitu hutongoza wanaume wenzao bila aibu yakapigwe miti
Sas kwani ni nitunge au eti wengine wanasema ni mm ndio shoga sas anjianika hapa jmn watu wache upuuzi kma mtu hajawai tongozwa na shoga nashukuru mungu sna sna kwa kweli
 
Sas kwani ni nitunge au eti wengine wanasema ni mm ndio shoga sas anjianika hapa jmn watu wache upuuzi kma mtu hajawai tongozwa na shoga nashukuru mungu sna sna kwa kweli
Watu hawajawah kutana na hivi visanga binafsi hizi case zimenikuta live na nikadeal nazo vizuri tu, kwanza mchukulie kama rafiki*kinafki, then mweleze haupo interest kabisaa kabisa total yani kama unavyoona mwanaume anamtongoza demu na demu anakataa so unavyojiskia nae anajiskia ivo ivo so cheza na saikolojia yake
 
Kwa hiyo wewe na jamaa yako mnamwonekano wa Kibasha?
 
Amle
 
Sas kwani ni nitunge au eti wengine wanasema ni mm ndio shoga sas anjianika hapa jmn watu wache upuuzi kma mtu hajawai tongozwa na shoga nashukuru mungu sna sna kwa kweli
mbona kama unaonekana ni mwanamke kwa uandishi wako?
 
Kwa akili hii maendeleo tusahau
 
Mwanaume unatongozwa na shoga na hujui cha kujibu? Lazima na wewe uwe shoga.
 
Jamaa yangu iliwahi mtokea tena alikuwa wa kizungu alimpa kavu kuwa anayaelewa mahusiano ya men na she not otherwise sema jamaa alielewa somo akumsumbua kozi walikuwa wanafanya kazi taasisi moja na wakaendelea kuwa washitakiwa tu.
 
Siyo mm sasa ni JAmaaa angu ndio anatongozwa
 
Jamaa yangu iliwahi mtokea tena alikuwa wa kizungu alimpa kavu kuwa anayaelewa mahusiano ya men na she not otherwise sema jamaa alielewa somo akumsumbua kozi walikuwa wanafanya kazi taasisi moja na wakaendelea kuwa washitakiwa tu.
Sas kina Demi wanakasirika wanajua n mm ndio. Anatongozwa au nafira mashoga kitu ambacho siyo kweli
 
Thread kama hizi zinaachiwaje, zifutwe mara moja 😡
 
Mambo mengine bana. Ukitongozwa una haki ya kukubali au kukataa. Jamaa yako anashindwa kusema hapana? Hakuna kitufe cha block kwenye simu yake...

Ni suala la muda tu ataliwa yeye
Huwajui wale ni ving'ang'a balaa.

Hapo ni kupiga block kila mahali.
 
Uko hapa kueneza ushoga huna lolote.
Yangekua yanakuchefua namba unatoa za nini?
Mmeharibika nyie tunaumia juu yenu inatosha msituumize zaidu kutaka kuharibu wengi.
Wewe ni upinde!
Baba amenza kuwa upinde kisha tukafaya ss na wewe utalawitiwa tu ukikaha vibay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…