Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata mtoto katika maisha yake. Hivyo anaomba nifanye
hivyo kwa mkewe ili apate mtoto. Naomba mnishauri juu ya jambo hili kwani nimempa
jibu moja tu kuwa avute subira nitafakari. Pia amenieleza kuwa hilo jambo wamejadili
na mkewe na wameshakubaliana.
Naomba ushauri wenu waungwana!
ACHA STORY ZA MGAHAWA NDUGU YANGU AU NDO UMEPEWA SCENE YA MOVIE UNATAFUTA PA KUTOKEA. FICHA UPUMBAVU WAKO ONYESHA UELEWA WAKO.?
jf kuna akina kanumba weengi mno sasa eeh???????
leta hivyo vipimo vyake hapa jf doctor tumpe ushauri yeye huyo rafiki yako...
aslimia 90 ya matatizo ya kutopata mtoto,yanatibika.....otherwise umetunga hii hadithi

Mh! hili ndilo lililonifanya nichukue muda mrefu kutafakari
kama nitaaminika nikiomba ushauri hapa!
INDECENT POROPOSAL!! LolHio movie inaitwa DANGEROUS DESIRE! Umemshauri vizuri Boss!
Tehe tehe Nilikwambia huko hutaambulia kitu.Mh! hili ndilo lililonifanya nichukue muda mrefu kutafakari
kama nitaaminika nikiomba ushauri hapa!
Duh! swali lako gumu sana mkuu, kifupi upande mmojaSwali la msingi ambalo nataka kujua toka kwako ni kuwa licha ya kuomba ushauri hapa JF je wewe upo tayari kutekeleza ombi uliloombwa?
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako maana natajiwa Filamu hata sijawahiMkuu Newspaper nakushauri uache hiyo 'biashara kichaa' niliwahi kukubali na kumsaidia mtu na ikaja nitokea puani kwa matatizo lukuki soma thread yangu 'Jambo limezua jambo' hapa hapa itafute na utakubali kuwa msaada huu haulipi.
Duh! Nimeisoma hiyo post uporoto imenihuzunisha sana!Mkuu Newspaper nakushauri uache hiyo 'biashara kichaa' niliwahi kukubali na kumsaidia mtu na ikaja nitokea puani kwa matatizo lukuki soma thread yangu 'Jambo limezua jambo' hapa hapa itafute na utakubali kuwa msaada huu haulipi.
Wengine hawajui na wengine hawaamini lakini hili swala la kuinuana kizazi lipo sana lakini kwakuwa hufanywa kwa siri wengi hawafahamu, na wanaume wengi hawataki kuwahusisha ndugu ili wasijue udhaifu wao na hutumia marafiki na watu baki.Nashukuru mkuu kwa ushauri wako maana natajiwa Filamu hata sijawahi kuziona badala ya kushauriwa.
jf kuna akina kanumba weengi mno sasa eeh???????
leta hivyo vipimo vyake hapa jf doctor tumpe ushauri yeye huyo rafiki yako...
aslimia 90 ya matatizo ya kutopata mtoto,yanatibika.....otherwise umetunga hii hadithi
we waache tu wazee walisema 'usilolijua ni usiku wa giza'.Sijui kwa nini hatuaminiani hapa jukwaani, bahati mbaya sina
njia ya kukufanya usadiki nilichoandika!