Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
Ni jambo ambalo ameomba liwe siri sijui kama itakuwa siri tena nikileta hivyo
vipimo hapa, hata hivyo mimi sijaviona hivyo vipimo!
Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata mtoto katika maisha yake. Hivyo anaomba nifanye
hivyo kwa mkewe ili apate mtoto. Naomba mnishauri juu ya jambo hili kwani nimempa
jibu moja tu kuwa avute subira nitafakari. Pia amenieleza kuwa hilo jambo wamejadili
na mkewe na wameshakubaliana.
Naomba ushauri wenu waungwana!
MUOGOPE MUNGU NA TUNZA HESHIMA YA URAFIKI WENU. Kama yupo tayari kuwa na mtoto ambaye si wakuzaa yeye mwenyewe ni bora aende aka adopt, mshauri hivyo na mwambie asifanye mambo kwa ajili ya kuwapendezesha binadamu kuwa ana uwezo wa kuzaa bali amfurahishe Muumba wake. Mwambie kuwa mkewe si nduguye itafika siku watatofautiana na mkewe na kila kila kitu kitakuwa hadharani.
there goes another very usefull advise. japokua umeongea kitu cha muhimu sana: mkewe si nduguye. je haki ya huyo mama kupata mtoto iko wapi? ukumbuke kuwa teknolojia inabadilika,huenda jamaa akapata matibabu ya kumfanya apate mtoto 20 yrs to come, wakati huo mkewe yuko 50 yrs na hawezi kuzaa tena! na ushasema si nduguye,so atajichukulia dogodogo na kuzaa. umenipa wazo kuwa ushauri huu ni typical wa kimfumo dume. angekua mwanamke ndo hawezi kuzaa,ungetoa ushauri wa ku-adopt? sorry,i am just thinking aloud from another angle
Malimwengu wanamambo siku izi...mwambie akamwombe mdogo ake wa kiume au kaka yake!
Ukitaka ijadiliwe vizuri ipeleke facebook kule. Kuna vijana wa sekondari na primary, hadithi kama hizi wanazipenda sana.Hivi imekuwaje hili suala ambalo ni la kweli kwa 100% linashindwa
kuaminika. Vyovyo mtu atakavyosema lakini sina jinsi ya kukanusha
jambo hili isipokuwa nasisitiza tena na tena kuwa ni kweli imetokea
100% kama kuna filamu inafanana na tukio hili narudia tena sijawahi
kuiona hiyo filamu.
Nasisitiza tena na tena TUKIO HILI SI LA KUBUNI!