Kaka hiyo ishu haitakuwa ya siri yenu ninyi wa tatu tu, itakujabumbulika muonekane vioja jijini, kama we ni mfuatiliaji angalau kiasi fulani wa tamthiliya ya Isidingo, utakumbuka aibu aliyoipata ya Mr.Mathabane, baada ya Mkwe wake kupata pregnancy baada ya kupandikizwa sperms za huyo Baba Mkwe wake, I think kwenye hiyo tamthliya,kwa bahati mbaya mimba ilikuja toka baadae but aibu ilikuwa imeshawapata, apart ya aibu ya baadae kwenye jamii, wewe unaweza kutoka moyoni kuvumilia kumsikia mwanao wa damu anakuita Mr. fulani, Uncle or Baba Mdogo, mwambie akampandikize Mkewe sperms za mwanaume mwingine au kikubwa cha rahisi Mke wake atafute mwanaume wa pembeni ambaye anakaa mbali sana naye, kama yeye anaishi pugu, akamtafute Kimara, but asiwaeleze mashoga zake mambo yake na mumewe na wala wasimjue huyo mwanaume mpya, awe naye kwa muda akishaona amenasa ujauzito atafute sababu nzuri ya kuachana naye, but ahakikishe kuwa anakuwa makini na AIDS, atafute mtu anayefanana sura kwa kiasi kikubwa na Mumewe ili wambea na jamii kwa ujumla wasishtukie hiyo ishu, ikewzekana abadilili namba yake ya simu baada ya kuachana huyo jamaa, pia asitake huyo jamaa amfahamu kwa kina na maisha yake, kwake awe na nia moja tu, ya kukamilisha mission yake ya kupata ujauzito wa jamaa. We pia, uwafichie siri yao kwa watu wengine na baadae wasisahau kumuomba Mungu msamaha kwa nia yao hiyo na jambo walilolitenda na wenyewe pia wajisamehe kwa jitendo walichokifanya ili kuepusha aibu wanayoipata kwenye familia yao, kuna wanawake wanaofanya hivyo ili kuwasitiri waume yao katika jamii, bila waume zao wenyewe kujua, so, sio suala geni sana Duniani, just ni kulifanya kwa umakini na kwa siri ya kutosha au kama vipi, waende kwenye maombi.