Rafiki yangu anauliza kuhusu Mishahara

Rafiki yangu anauliza kuhusu Mishahara

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
1,363
Reaction score
223
Kuna Rafiki yangu mtaalamu wa Computer (IT) ana Bsc. Computer Science na pia ana vyeti vya CCNA, CCNP, MCSE anauliza Mishahara kwa vyeti vyake hivyo ina range Tshs. ngapi?

Anaomba msaada kwa hilo.
 
Inategemea na kampuni yenyewe utakayo pata kazi! wengine wanalipa vizuri na wengine hawalipi vizuri ila 500000 ni standard kama ni huna experience ya kutosha!
 
Kuna Rafiki yangu mtaalamu wa Computer (IT) ana Bsc. Computer Science na pia ana vyeti vya CCNA, CCNP, MCSE anauliza Mishahara kwa vyeti vyake hivyo ina range Tshs. ngapi?

Anaomba msaada kwa hilo.

Damn! if he really earned those certificates - well, na sio vyeti vya 'pass' only-, he should not be asking such a question, he has the right to demand whatever pay he thinks he deserves.
 
It's very few organization recognized those certifications, as Mentor said, he should demand what he wants and not asking the range.
 
Namjua jamaa mmoja ana CCNP analipwa 3 mill, yupo moja ya kampuni za simu.
 
Inategemea na kampuni yenyewe utakayo pata kazi! wengine wanalipa vizuri na wengine hawalipi vizuri ila 500000 ni standard kama ni huna experience ya kutosha!
Mshahara hautolewi kwa vyeti bali kwa ujuzi, uzoefu, kujituma, kuaminika, n.k.
 
Mshahara hautolewi kwa vyeti bali kwa ujuzi, uzoefu, kujituma, kuaminika, n.k.
No,unatolewa kwa kuangalia unavyojuana na HR, kimemo kilichokuleta kimetoka kwa nani, bargain power yako, and the like.
 
Kuna mtu (siyo IT person) analipwa 6,000,000/=Tshs kwa mwezi wakati watu wengine kama yeye wanapata 800,000/= kama yeye Serikalini. na anafanya kazi hapa hapa Bongo! Amepata kazi hiyo bila kuombewa na mtu - ana vi-experience vilivyoenda shule japo vya kuunga unga. So, confidence and compitence matters! ALL IN ALL, TUSISOME ILI TUAJIRIWE, BALI TUJIAJIRI! Japokuwa, in most cases, mwanzoni ili upate capital ya kujiajiri na hatimaye kuajiri wengine inabidi uajiriwe kwanza.
 
kwa vile huna uzoefu kubali kuanzia 500,000/= then utakuwa unapanda kidogo kidogo
 
Back
Top Bottom