mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,363
- 223
Kuna Rafiki yangu mtaalamu wa Computer (IT) ana Bsc. Computer Science na pia ana vyeti vya CCNA, CCNP, MCSE anauliza Mishahara kwa vyeti vyake hivyo ina range Tshs. ngapi?
Anaomba msaada kwa hilo.
Mshahara hautolewi kwa vyeti bali kwa ujuzi, uzoefu, kujituma, kuaminika, n.k.Inategemea na kampuni yenyewe utakayo pata kazi! wengine wanalipa vizuri na wengine hawalipi vizuri ila 500000 ni standard kama ni huna experience ya kutosha!
No,unatolewa kwa kuangalia unavyojuana na HR, kimemo kilichokuleta kimetoka kwa nani, bargain power yako, and the like.Mshahara hautolewi kwa vyeti bali kwa ujuzi, uzoefu, kujituma, kuaminika, n.k.