Rafiki yangu anaumwa Fungus toka miaka mitatu iliyopita

Anyway abadilishe taulo, achukue lile la pamba linalonyonya maji vizuri, awe analifua na kulikausha vizuri juani,

Last
Kama yupo dar mwambie awe anaenda beach na kujitahid kuogelea japo nusu saa tu, akifanya hivyo mfululizo itakua vizuri Zaid


Mungu akimjaalia kupona mwambie asinisahau hata buku tu mi napokea
 
HIV kapima?
 
Rafiki yako au bwana wako....needs true information.....
 
Thanks
 
Bei gan hiz boss
Mkuu,
Inategemea itanunulia wap ? Na upo mkoa gani??

Kwa dar es salaam maduka ya jumla kariakoo utapata @7500 mpaka 8000

Pia hiyo shower to shower GEL unaweka kidogo kiganjani au kwenye dodoki unaanza kuoga..

Ukiweka nyingi utaoga ndoo nyingi otherwise use unaogea bomba la mvua..

Ni shower to shower GEL Ni nzuri Sana kuogea utapendeza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…