Rafiki yangu Arufonsi!

Rafiki yangu Arufonsi!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,768
Reaction score
2,361
popup_close_button.png

3192871753_a06a4d1ddf.jpg







Jamani mpeni ushauri rafiki yangu Arufonsi, kanunua gari jipya , akaenda kuogelea nalo.
Yaliyompata makubwa!!!
 
hiyo imekula kwake..........alete deal huku nimpatie crane ya maana
 
popup_close_button.png


3192871753_a06a4d1ddf.jpg







Jamani mpeni ushauri rafiki yangu Arufonsi, kanunua gari jipya , akaenda kuogelea nalo.
Yaliyompata makubwa!!!

Wiki iliyopita nilimkataza kwenda nalo Zanzibar, akasema-"aroo hiri four whiri bwana"
 
Jamani Arufonsi! mwambie afunge maboya ma2
 
Arufonsi na wewe bana,umekuja kuwaje tena rakini?Ndo ifo ifo juzi ukasawadiwa fiatu kone pesideyi ukarara nafyo kitandani reo tena ndo ifo!!We hujui unatuaibisa akina mwetu apa ri city ra sarama?
 
Back
Top Bottom