Rafiki yangu kadondokewa na ukuta chooni

Babu ni kweli kadondokewa na ukuta wkt akitita

Haya,

Poleni sana....Ila wambie waliobaki wawe waangalifu na vyoo vya namna....

Naamini mhubiri atakayekuja kufanya mazishi atasisitiza huo ujumbe na atawakumbusha watu waache kukimbilia iPhone na kusahau toilets a.k.a nyumba kuu!!!
 
Vyoo vya uswazi mwenyewe unajua lazima tank la kinyesi chini pa kunyea umechuchumaa panakuwa juu na unaposhusha mzigo unausikia kabisa chini ngiiiii

sio lazima tank likae chini ya choo
huo ujenzi wa kizamani
unaweza weka tank hatua chache pembeni
na choo kikawa safi tu....na gharama ni hiyo hiyo...
 
sio lazima tank likae chini ya choo
huo ujenzi wa kizamani
unaweza weka tank hatua chache pembeni
na choo kikawa safi tu....na gharama ni hiyo hiyo...

Kweli,

Nimekamilisha kujenga kimoja cha namna hiyo kwa ile nyumba yangu ya 7,

It is great.....clean and risk free!!
 
sio lazima tank likae chini ya choo
huo ujenzi wa kizamani
unaweza weka tank hatua chache pembeni
na choo kikawa safi tu....na gharama ni hiyo hiyo...

Umenunua kaeneo ka 12mx12m umejenga kajumba kako eneo limeisha kwa kuweka choo shida unamwomba jirani akupe kidogo tu uchimbe shimo ujenge cha kisasa kwa eneo lipi hata nyonya mavi halifiki kikiwa cha juu kikijaa kipindi kama hiki unatapisha tu.
 

Pole sana Mkuu, nimeisikia kupitia Wapo Radio. Lakini kama kweli alikuwa ni rafiki yako, mbona huonyeshi masikitiko katika hii taarifa yako, ni kama umefurahi vile au kaacha mjane?
 
Pole sana Mkuu, nimeisikia kupitia Wapo Radio. Lakini kama kweli alikuwa ni rafiki yako, mbona huonyeshi masikitiko katika hii taarifa yako, ni kama umefurahi vile au kaacha mjane?

Mjane nitamtunzia tu usiwe na hofu kama mandela anamtunzia samora machell nitashindwaje mm?
 
Mi nimetuma mwakilishi nipo usalule huku nasaka mchumba hutaki mkamwana babu?

Nataka tena sana, ukizingatia kuwa ataniongezea idadi ya wajukuu!!

Hivi, huwezi kuahirisha ukamzika rafiki yako kweli...Au kwa kuwa kajizika mwenyewe kwa kutumbukia kwenye shimo lililonona??

Babu DC!!
 
Mkuu ndio Uafrika huo,

Mie na Zuma tunakuwa sahani moja!!

Mwaka ujao nafunga kitabu...Ya 11 itakamilishwa kabla ya pasaka....Ungependa kuwa best man??

ikibidi nije niwepo
sio best man
labda a protege....lol
 
Mjane nitamtunzia tu usiwe na hofu kama mandela anamtunzia samora machell nitashindwaje mm?

Kumbeee,

Ndo maana unafanya party?? Sasa nimeelewa kwa nini maombolezo yako yamekaa kama mazingaombwe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…