hii ni wewe lakini umeamua kusingizia
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Nami naona anahofia tu watu kumuona namna gani ila nafsi yake naona kabisa keshakwama na ana defend kuwa si atapewa mtaji badae amwache! Najiuliza je akipigwa chuma??Age is nothing kwenye maisha na mahusiano kiujumla wake. As long as mmependana I don't mind. Niliwahi kumla mdada mkubwa kiumri kwangu na alinipenda sana. Ila nikampotezea coz niliona sina future nae. Na by then sikuwa motivated na pesa au kazi. It was happened naturally. Ila kwa vijana wa sasa hivi ambao mmeweka pesa mbele, na huu msoto jamaa yako hapo hapindui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tatizo kama wameelewana na kuridhiana waishi hakuna dhambi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie akubali, hilo ni zali la mentali.
Vijana wanakwambia "pele limempata mkunaji".
Kwa sababu atakuwa amepata mtu mwenye uzoefu na mambo mengi!
Hiyo ni ngekewa, imepita viwango vya bahati.
Huo siyo umario!
Kwa upande wangu maza wa 77 sioni kama mtu wa mid 20's anafaa ku date nae....pesa kitu gani mpaka ufosi mambo hivi?! Ndio maana namcheka
Sent using Jamii Forums mobile app