Rafiki yangu kapendwa na bibi wa miaka 77, nimshauri vipi?

Kuna jimama moja 39 years limeniganda balaa, sema hata halina pesa ila linanifanya nijione kupendwa sana hadi kero.... ni litamu halina stress na linajua ku-care so vibinti visumbufu naona takataka tu.
 
Kwani unakula umri au unatoamo yako tu then unapita hvi ila kuwa makin kuna ukimwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
77 mbona juzi tu, au mie ndo nishakuwa mkongwe? Kigori kabisa huyo!
 
JF kweli siku hizi kumejaa vitoto.
Ahahahahah...
Sasa kama watu wazima na busara zenu mmenyamaza hamtoi nondo za ku feed akil za vijana wenu mnategemea nn mkuu.acha watawale tu platform.

Kuna ule msemo unasema Dunia inaharibiwa na watu wema kukaa kimya na kuwaacha waovu wawe na sauti
 
Moderator alie edit heading ya hii thread hakusoma vizuri.
Mimi niliandika jamaa amependwa na maza wa mwaka 77 yeye anaandika bibi wa miaka 77...
Mki edit tulizeni vichwa muelewe vizuri mnaharibu lengo la uzi. Ina maana hata uzi hamjausoma mna edit tu.
Daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga basi maza miaka 77 au 43???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…