Elections 2010 Rafiki yangu MS sisi tushikilie mapembe eti wengine wanakamua

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Pamoja na wengine humu kukesha tukipiga kelele sidhani kama tutaambulia kitu, mwisho wa mwisho tumempeleka jamaa ikulu sijui kama atamkumbuka MS hata ukatibu kata achana na ukuu wa wilaya. Wasipokukumbuka rafiki yangu MS tuwasiliane wote ni wa TZ kuna fisadi mmoja rafiki wa dingi kafanikiwa na tayari kaniajiri kama meneja kwenye Hotel yake njoo nikupe tafu bwa mdogo achana nao hawana maana hata kidogo. Hapo ndipo utie akili kelele upige wewe kula tule sisi LOL!
 

Pumba tu ..umeanza kuchanganyikiwa we bwa mdogo
 
Pumba tu ..umeanza kuchanganyikiwa we bwa mdogo
Ukweli ndio huo ila hauko peke yako mko wengi nyie mnapiga vuvuzela wanaofaidi wengine kabisa.
 
Bye bye tukutane tena 2015

Ndiyo maana nasema kupiga kampeni tupige sisi kula wale wengine wapi na wapi, hata MS amekuwa akikesha JF lakini leo baada ya Kikwete kuapishwa wao wamejimwaga kwenye sherehe za kujipongeza yeye anakula vumbi la Buguruni akili au matope.
 
ms ameata amani na utulivu. hms ahkuwa mikoa ya arusha, mwanza na Moshi. alikuwa mikoa tuluvu iliomchaua jk kwa kishindo. ms anategemea mani na sio fedha
Wewe endelea kudai eti unachotaka amani wakati wenzenu wanatumia migongo yenu, by the way mbona sikukuona kwenye sherehe za kuapishwa mimi nilikuwa jukwaa kuu wewe ulikuwa wapi au kwenye jukwaa la mzunguko nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…