kwa vyovyote vile mna tabia zinazofanana
na ndo maana mkawa marafiki
sasa mungu ametafuta namna ya kukurudishia yote uliyowafanyia wengine.....
what goes around....comes around
Jaman nina rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki kwa muda mrefu sasa ila namjua ni tapeli na malaya sana na ameoa wake zaidi ya wawili bila ndoa na kuachana nao sasa cha kusikitisha zaidi amemrubuni dada yangu na anataka kumwoa na tayari ameshampa ujauzito.Nimeshindwa nimsaidieje dada yangu huyo.Nisaidieni mawazo.
watu uwa wanabadilikaJaman nina rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki kwa muda mrefu sasa ila namjua ni tapeli na malaya sana na ameoa wake zaidi ya wawili bila ndoa na kuachana nao sasa cha kusikitisha zaidi amemrubuni dada yangu na anataka kumwoa na tayari ameshampa ujauzito.Nimeshindwa nimsaidieje dada yangu huyo.Nisaidieni mawazo.
Daa hapa kazi ni kubwa mno ni kama Kujitahidi kuficha mavuz wakati unamuonesha uchi mtu.Hapo ni kumtaarifu dada yako kuhusu huyo jamaa.
Jaman nina rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki kwa muda mrefu sasa ila namjua ni tapeli na malaya sana na ameoa wake zaidi ya wawili bila ndoa na kuachana nao sasa cha kusikitisha zaidi amemrubuni dada yangu na anataka kumwoa na tayari ameshampa ujauzito.Nimeshindwa nimsaidieje dada yangu huyo.Nisaidieni mawazo.
mume wa dada yako ni shemeji yako so kuwa mpole tuu, dada huyooo anaolewaaa, mahariii ishatolewaaa
dats the nature of yu womenEti eeeh....women a blind nan kasema?men je...deaf o?