kibovu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 702
- 759
Ndugu wana jamvi poleni na mihangaiko. Jamaa yangu ana tatizo limemuanza yapata mwezi sasa kichwa cha uume kinakuwa kimebabuka yaani kinakuwa na vimelea vya kama kidonda kinachopona yaani kinakuwa tuvinyama tulitobabuka
Unaweza kutuvuta na kututoa ukipaka maji inakaa sawa baada ya muda vinarudi mpauko kama mwanzo.
Ameenda hospitali amepewa tube fulani kama zile dawa za kutibu fangasi lakini ametumia ya pasa mwezi sasa lakini mabadiliko ni kidogo sana.
Naomba mnisaidie dawa jamaa yangu aweze kupona.
Asanteni