Rafiki yangu wa karibu anatakwa kimapenzi na mpwa wake

Mpwa kitugani,nawe kwann kutuchosha ivo??
 
Aaaaah nimechok had kusom
 
Eeeh uko vzuri hongera sana....me huu Uzi ningeuandaa mwezi mzima

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Unategemea kweli mtu akae na kusoma hili gazeti lote kisa tu rafiki yako anatakwa kimapenzi na mpwa wake? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂

hii summary yako ingekuwa shule mtu akiisoma mtihani anapata A+
 
Kwenye nyumba za wanaume wengi. Ikitokea pisi imekuja hapo michezo ya kuzungukana hua ni mingi sana.

Huenda mmoja wao alishawahi kumla huyo dem ila kujua ndo huwa ni ishu na vile wote mnajitia walokole.

Maza nae angetafuta namna ila sio kumleta binti kigoli (bikra aliekaa kwenye ndoa kwa miaka kadhaa😂😂). Maana vijeba wenye ugwadu huwa hawachelewi kusuuza rungu.
 
Kisa kizuri sana bro nimekisoma chote aseh hii ni nzuri nimeipenda sana na kuokoka katika roho na kweli ni swala la muhimu kuishi na Mungu ndani yetu hasa sisi vijana maana unaambiwa vijana mna nguvu za kumshinda shetani kumpiga shetani na hasa hapo kwenye sex intercourse aseh hapa vijana wengi tumejisahau watu wanaona kama hiyo ni fursa lakini behind the scenes mzee baba nikujiopolea mapepo tu na mikosi kama yote na kumbuka kwamba kujenga ni ngumu sana kuliko kubomoa kwa hiyo hii sekta tunatakiwa tujifunze kitu hapa kutoka kwa bro tusimame kweli aseh tuombe kweli ......vita vya kiroho ni vikali kuliko hata vya Ukraine na urussi aseh ....ndo Kama hivo shituka mapema tumpige shetani asituharibie maisha aseh
 
😂😂😂 laiti kama mngeona mtu aliyekuwa possessed sijui kama mngetulia eneo hilo huyo binti alikuwa ana waektia tu.
 
Kuna kitu nimekipata apa, ila kama ndo ivyo wengi ubeba mikosi na mabalaa mengi sana kupitia sexual intercose kwakweli tuna wakati mgumu sana vijana tutafika mbinguni tumechoka sana
 
Aliye soma mpaka mwisho atuwekee summary
 
Nimeshindwa kuendelea baada ya kugundua kuwa huyo bint mwenye bikra alishawahi kuwa na maboyfriends wawili wakafa lakini pia licha ya kuolewa bado bikra ikaendelea kuwepo mpaka anafika Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…