Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
wakuu JF , Rafiki yangu wa karibu sana na wa siku nyingi yupo kwenye matatizo makubwa . Miezi minne tu baada ya kufunga ndoa na shamrashamra nyingi sana za kukata na shoka .ilibidi atangaze ndoa haraka sana baada ya kugundua kuwa girlfriend wake alikuwa mjamzito , ndugu na jamaa walihudhuria kwenye harusi iliyofanyika kwenye ukumbi mmoja pale sabasaba.
TATIZO lilianzia last week tr 07.03.2011 baada ya mke wake kujifungua salama kwenye hospital moja inaitwa regency(i dont know iko wapi) mtoto kazaliwa ana macho kama ya wakorea but jamaa alivyonihadithia anadai nyumbani kwao demu kuna wafanyabiashara from asia something like that wamekodisha nyumba nzima wanaishi pale , so jamaa yuko njia panda kachanganyikiwa , na mama yake jamaa anataka kutoa laana kwa mshkaji kapewa 1 week amfukuze huyo msichana but tatizo linakuja kuwa jamaa kafunga ndoa tena kanisani(lutheran), na mwanamke anampango wa kujinyonga (kaahidi hivyo) kasema maisha yake yapo mikononi mwa jamaa manake akifukuzwa hana pa kwenda na yeye anadai hana kumbukumbu za kutembea na mtu wa asia /korean/chinese.
Na mwanamke mwenyewe ni mzaliwa wa Iringa.
Nimwemwambia jamaa kuwa sina la kumwambia so aamue mwenyewe.
"kweli duniani kuna mambo wajameni"