Rafiki yangu yuko njia panda nimeshidwa kumsaidia

Huyo jamaa kama ana wasiwasi ushauri ni kufanya DNA tu ili kila kitu kiwe wazi.
Ila inawezekana pia huyo mtoto ni wake, watoto wachanga hubadilika, si rahisi kiivyo kujua kama ni mchina/mkorea and the like
Jamani am speaking from my own exoerience here..mimi nilivyozaliwa mama yangu nusu afukuzwe wakidhani mie ni mwarabu, ila jinsi siku zilivyozidi kwenda ndivyo nilivyozidi kubadilika na nikafanana haswaa na upande wa baba yangu na si mwarabu tena..
kwahiyo huyo mwana yawezekana ni wa huyo jamaa,wampe muda na kila kitu kitakuwa wazi
 
Huyo mtoto ni macho tu ndo yakikorea au kilakitu? Hapa inaituji subira kidogo nadhan kwa mwez M1 mtoto uwez pata sura yake vzur amsubirie kama 2month iv hapo mtoto ataonekana vizur ila kwa case ya macho. Ila kama ni chotara kabisa daa jib atakuwa nalo nin cha kufanya
 

kwenye red kulikua na sababu ya kusema hivyo? msitudharirishe jaman. ushauri mwambie asimwambie kitu mke wake alee mtoto akiwa mkubwa aaaaaaaaahhhhha anajinafasi nae tu au sio wa kike?
 

jifikirie vizuri nsiande!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…