Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Katika hali ya kustaajabisha timu ya simba sc imewafanyia vipimo vya afya wachezaji wake wapya 9 baada ya kuingia nao mikataba kabisa na kuanza pre season huku nchini uturuki
MASWALI
1. Wametumia sayansi au mbinu gani mpya duniani ya kusajili mchezaji akacheza hadi mechi na baada ya wiki kadhaa ndo wampime afya?
2. Je kuna timu nyingne hapa dunia ishawahi fanya hivi au wao ndo wagunduzi?
3. Je hili jambo ni nzuri waendelee nalo au wamepuyanga?
4. Je viongoz wasimba wanawadharau mashabiki wao au lah?
5. Viongoz ni mbumbumbu au mashabiki ni mbumbumbu au wote ni mbumbumbu
6. Je viongoz wanahisi wanaongoza kundi la ng'ombe kwahyo hawajali kitu au wanafanya kusudi?
Kwenye ujezi wa sanamu mm ntajitolea saidia fundi