rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Baada ya rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano kutoa kauli juu ya aliyekuwa rais wa Simba Aden Rage kumfata ili kumpatia msaada wa shilingi milioni 30 kwa ajili ya uwanja wa Simba wa Bunju wakati wa tamasha la kuchangia timu ya Yanga, kwanza nimeshangazwa na waandishi wa habari kutokuwa na kumbukumbu kwani wao wakishaandika tukio lolote linalotokea huwa kitu kingine kinachohusiana na tukio hilo kikitokea mbeleni ama hawakumbuki au hawana haja ya kufatilia.
Lakini pointi yangu kubwa ni kauli ya rais msitaafu ya kumpatia Aden Rage milioni 30 kwa wanaokumbuka katika mkutano wa Simba uliofanyika kipindi akiwa madarakani baadhi ya wanachama walihoji juu ya uwanja wa Bunju naye Rage akawajibu kinachikwamisha ni milioni 30 ikalazimu kupitisha mchngo wa papo kwa papo miongoni mwa wachangiaji alikuwa Zakaria Hanspope ambaye alitoa milioni 10 lakini kauli ya rais msstaafu inaonyesha wazi pesa ama ya kwake au waliyochangia Simba juu ya uwanja ililiwa na hii inadhirisha paamoja na kumtoa kwa msamaha gerezani bado Rage aliendelea na vitendo vyake vya wizi