babacollins
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 901
- 212
M/kiti wa Simba SC Ismail Rage ametuibia siri kuwa timu ya APR ya Rwanda ndo kiboko ya timu ya TP mazembe, japo hajatuambia wamekutana na kufungana au kudraw mara ngapi.Mazembe ndo mabingwa wa Africa na washindi wa pili klabu bingwa ya dunia nyuma ya intermilan.Kwa hiyo mazoezi na APR yatawapa mbinu(?)za kukabiliana na Mazembe.Inaingia akilini hiyo?Kama ni kweli kwa kua Rubin Kazan huisumbua Barca ili kuifunga Barca inahitaji kucheza na Rubin au vipi?au ndo tuseme APR wana kamati ya ufundi nzuri dhidi ya Mazembe?Au ndo maji yamechanganyika na mafuta(siasa kwenye football)?

hii mifano yenu,eti National Al Ahly ya kina Hossam Hassan iliwafunga Real Madrid ya enzi zile za kina Zidane,Figo,RCarlos,Raul,Hierro,Guti,Casillas,Mijatovic nk basi ingeweza kuzifunga kina Barca,Man Utd,Bayern Munich,Juve,AC Milan,Inter,Liverpool,Lyon,Valencia,Ajax na Arsenal wakati uleM/kiti wa Simba SC Ismail Rage ametuibia siri kuwa timu ya APR ya Rwanda ndo kiboko ya timu ya TP mazembe, japo hajatuambia wamekutana na kufungana au kudraw mara ngapi.Mazembe ndo mabingwa wa Africa na washindi wa pili klabu bingwa ya dunia nyuma ya intermilan.Kwa hiyo mazoezi na APR yatawapa mbinu(?)za kukabiliana na Mazembe.Inaingia akilini hiyo?Kama ni kweli kwa kua Rubin Kazan huisumbua Barca ili kuifunga Barca inahitaji kucheza na Rubin au vipi?au ndo tuseme APR wana kamati ya ufundi nzuri dhidi ya Mazembe?Au ndo maji yamechanganyika na mafuta(siasa kwenye football)?