Rah ya ndoa ni kumpata mwandani bora!

Rah ya ndoa ni kumpata mwandani bora!

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
i1147_649310218230751470178751420582471876469n.jpg


Rah ya ndoa ni kumpata mwandani bora!
 
fake!fake fake!
DAMN FAKE!
are these celebrations MANDATORY?.............why are the fellows forcing lyf?
 
Hii ni zilipendwa, sidhani kama kuna harusi kama hizi siku hizi.
 
Hii ni zilipendwa, sidhani kama kuna harusi kama hizi siku hizi.


zipo bado, kwani kila mtu hujikuna ajipatapo , na sio kila mtu anauwezo kama ulionao wewe na wengine .🙂
 
nimefurahi sana bwana harusi si lazima mkafanyie vikao kempisiki mradi kuwa na furaha amani na upendo
 
Hii ni zilipendwa, sidhani kama kuna harusi kama hizi siku hizi.

Zipo kama kazi...Kijijini kwangu its the order of the day..
Ni nzuri sana, zinaleta peace of mind, na zaidi sana zina upako wa ajabu!
 
Back
Top Bottom