Raha huwa raha ukijipa mwenye

Raha huwa raha ukijipa mwenye

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
DSC_9666.JPG
pombe.jpg
 
Yawezekana hawa ndio walinzi wake, si unaona makopo hayo pembeni? Kweli raha usisubiri kupewa!?!
 
...Tena wanamuangalia kwa uchu wa hali ya juu...Utadhani fisi anasubiri mkono udondoke ajinafasi.

acha uongo macho ya uchu yako wapi hapo Sanjenti jamani???

sasa huyo na simu hapo inakuwaje??? sio kwa mtogole yaani waiangalie simu hivo na mtu mwenyewe kwisha habari yake???
 
Back
Top Bottom