Nuran Jr
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 273
- 234
Wengi huwa tunajua jinsi weekend inavokuaga na amsha amsha vijana wa mjini watanielewa zaidi ila hakuna kitu kinachotia stress kama ni weekend alafu huna hela, home kifurushi cha king'amuzi kimeisha, huna mwanamke au mwanamke wa kukuliwaza, huna bandle kwenye simu, huna credit ya kupiga au kutuma sms afu asubuhi unatakiwa ureport kazini, alafu mbaya zaidi mwezi ndio kwanza upo katikati unaweza ukatamani ujiue alafu hata hela ya kununulia sumu huna.
I BLNG 2 JESUS CHRST
I BLNG 2 JESUS CHRST