Raha na karaha za weekend

Nuran Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
273
Reaction score
234
Wengi huwa tunajua jinsi weekend inavokuaga na amsha amsha vijana wa mjini watanielewa zaidi ila hakuna kitu kinachotia stress kama ni weekend alafu huna hela, home kifurushi cha king'amuzi kimeisha, huna mwanamke au mwanamke wa kukuliwaza, huna bandle kwenye simu, huna credit ya kupiga au kutuma sms afu asubuhi unatakiwa ureport kazini, alafu mbaya zaidi mwezi ndio kwanza upo katikati unaweza ukatamani ujiue alafu hata hela ya kununulia sumu huna.

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Aiseee!!! Kwang week end
Ikinijia bila pesa hata ya bia
Mbili kijiwen skanyag kabsaa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
ukifikia stage hiyo huna sababu ya kuendelea kua mjinil. bora kurudi kijijini ukiboreka unaenda sikia ndege wakiimba au sauti ya upepo
 
Weekend naitumia shamba

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tarehe gani zilizokaribia labda kama ni mzee wa salary advance
ukiona kwenye org unakofanyia kazi Finance dept under Payroll section wako busy bas tar za jeuri zinakaribia

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Hivi mnaishiwaje ishiwaje hela?,

anyway mi tangu saa moja asubuhi niko job mpaka saa tano na nusu usiku,no weekend no holiday..
Hapa ni kazi tyu...
 
Haya ndiyo , mawazo ya maskini walio wengi. Ukiendelea vivyo hivyo utapata unachokitafuta mapema kabisa kabla jogoo hajawika mara tatu.
 
Pata pesa tuijue tabia yako

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…