Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Anaweza asife mapema ila cha moto atakionaKabisa maana atakufa kabla ya siku zake
mkuu for real nnauhakia 100% haujanielewa ..the heading was "Raha na Karaha za weekend" maana yangu weekend ukiwa na refreshment either uwe hela OR kifurushi cha channel kiko okay OR unamtu wa kukufariji weekend haita boa sasa comment nnazoziona ni tofauti na nlichokimaanishaNimemuelewa sana shida yake anatamani vitu vingi sana hilo ndio tatizo
Okeymkuu for real nnauhakia 100% haujanielewa ..the heading was "Raha na Karaha za weekend" maana yangu weekend ukiwa na refreshment either uwe hela OR kifurushi cha channel kiko okay OR unamtu wa kukufariji weekend haita boa sasa comment nnazoziona ni tofauti na nlichokimaanisha
I BLNG 2 JESUS CHRST