Raha ntaipata wapi?

Kulamba, Kunusa, Kugusa na pia Kuona zote ni raha tupu kama ukijua ni wapi pa kulamba, kunusa, kugusa na kuangalia.

Kama ndio mwanzo...ukianza kuzitafuta kwa kunusa..kuona..itakuchukua muda gani?
Kubofya ipo? ....wapi?
 
hizo zote ni senses na huweza kuwa na raha na karaha, kiwango hutegemea, aina, mhusika, fikra ana hisia za wakai, mazingira na intensity. for me zote zaweza kuleta raha kubwa sana na pia zaweza kugeuka karaha vilevile depending on the mentioned factors
 
Viungo vya binadamu vyote vinategemea. Huwezi kusema mkono, sababu wewe huwezi kunusa uukate; au pua sababu wewe huwezi kuona, uikate; au mdomo kwa sababu hauwezi kunusa, uukate; au macho sababu hayawezi kusema, uyatoe... HUWEZI KUTOFAUTI HIVI VIONJO....VYOTE VINATEGEMEANA
 

Je ww raha wazipata wapi?
 
znapatikana kwenye KUNYONYA NA KUFYONZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…