kadoda11 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 21,453 Reaction score 20,746 May 19, 2016 #1 tazama video halafu,vuta picha siku shilole atakapo kutana na venessa mdee kama alivo haidi ktk lile bifu lao linalo endelea.
tazama video halafu,vuta picha siku shilole atakapo kutana na venessa mdee kama alivo haidi ktk lile bifu lao linalo endelea.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 May 19, 2016 #2 Instagram video by Lucas • May 10, 2016 at 12:31pm UTC
Shuleless JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 4,957 Reaction score 6,221 May 19, 2016 #4 Watu walikua wanataka kusafisha macho tu... Kuamulia gani huko!!!
zegamba180 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 820 Reaction score 541 May 19, 2016 #5 Uzuri haupo labda kuona chupi tu
kadoda11 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 21,453 Reaction score 20,746 May 19, 2016 Thread starter #6 Konsciouz said: Watu walikua wanataka kusafisha macho tu... Kuamulia gani huko!!! Click to expand... cha ajabu hata yule askari nilidhani anaenda kuaamulia,kumbe naye ni msafisha macho.
Konsciouz said: Watu walikua wanataka kusafisha macho tu... Kuamulia gani huko!!! Click to expand... cha ajabu hata yule askari nilidhani anaenda kuaamulia,kumbe naye ni msafisha macho.
bowlibo JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 3,205 Reaction score 2,905 May 19, 2016 #7 kadoda11 said: cha ajabu hata yule askari nilidhani anaenda kuaamulia,kumbe naye ni msafisha macho. Click to expand... aliamulia kwa kauli tu na wakaacha...."nasema acheni kugombana hadharani mara moja"
kadoda11 said: cha ajabu hata yule askari nilidhani anaenda kuaamulia,kumbe naye ni msafisha macho. Click to expand... aliamulia kwa kauli tu na wakaacha...."nasema acheni kugombana hadharani mara moja"
kadoda11 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 21,453 Reaction score 20,746 May 19, 2016 Thread starter #8 bowlibo said: aliamulia kwa kauli tu na wakaacha...."nasema acheni kugombana hadharani mara moja" Click to expand... Yap yap.
bowlibo said: aliamulia kwa kauli tu na wakaacha...."nasema acheni kugombana hadharani mara moja" Click to expand... Yap yap.