Mgombea tayari mnae? Hivi ninani vile? Magufuli au Membe?Great Thinkers,
Kwa heshima ya jukwaa hili na weledi wa ma GTs’ JF, ninaomba tuungane kusherehekea ushindi mnono wa CCM kuelekea 2020 kwa sababu:
1. CCM imeweza kutekeleza ahadi zake zote za 2015
2. CCM inamgombea urais anayekubalika 100% na hana mpinzani ndani na nje ya chama.
Mgombea tayari mnae? Hivi ninani vile? Magufuli au Membe?
GASHOGreat Thinkers,
Kwa heshima ya jukwaa hili na weledi wa ma GTs’ JF, ninaomba tuungane kusherehekea ushindi mnono wa CCM kuelekea 2020 kwa sababu:
1. CCM imeweza kutekeleza ahadi zake zote za 2015
2. CCM inamgombea urais anayekubalika 100% na hana mpinzani ndani na nje ya chama.
Mpaka kipenga Cha mwisho kitakapopulizwa na WABONGO .....!
[emoji109] [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji95]
Hii ndiyo raha yenuGreat Thinkers,
Kwa heshima ya jukwaa hili na weledi wa ma GTs’ JF, ninaomba tuungane kusherehekea ushindi mnono wa CCM kuelekea 2020 kwa sababu:
1. CCM imeweza kutekeleza ahadi zake zote za 2015
2. CCM inamgombea urais anayekubalika 100% na hana mpinzani ndani na nje ya chama.
Nobody knows tomorrow. Hata kwenye Titanic walikuwa na raha hivyo hivyo.Great Thinkers,
Kwa heshima ya jukwaa hili na weledi wa ma GTs’ JF, ninaomba tuungane kusherehekea ushindi mnono wa CCM kuelekea 2020 kwa sababu:
1. CCM imeweza kutekeleza ahadi zake zote za 2015
2. CCM inamgombea urais anayekubalika 100% na hana mpinzani ndani na nje ya chama.
Mudawote kumbuka hili na jitahidi sana usilisahau: WAKATI SI MILELEGreat Thinkers,
Kwa heshima ya jukwaa hili na weledi wa ma GTs’ JF, ninaomba tuungane kusherehekea ushindi mnono wa CCM kuelekea 2020 kwa sababu:
1. CCM imeweza kutekeleza ahadi zake zote za 2015
2. CCM inamgombea urais anayekubalika 100% na hana mpinzani ndani na nje ya chama.
Kanajidanganya kama nikivyojidanganya mimi kukagegeda ka dada Mudawote nikiamini ni kasichana kumbe kamezeeka safari hii mpaka maini! Mwenzio anabuni mbinu za kuiba kura, Mbembe hajampa usingizi kabisa! Akiliwaza li Tundu ndiyo halali kabisaàa!Great Thinkers,
Kwa heshima ya jukwaa hili na weledi wa ma GTs’ JF, ninaomba tuungane kusherehekea ushindi mnono wa CCM kuelekea 2020 kwa sababu:
1. CCM imeweza kutekeleza ahadi zake zote za 2015
2. CCM inamgombea urais anayekubalika 100% na hana mpinzani ndani na nje ya chama.
Huu mwandiko tu ni ushahidi tosha kuwa ww ni mataga tuGreat Thinkers,
Kwa heshima ya jukwaa hili na weledi wa ma GTs’ JF, ninaomba tuungane kusherehekea ushindi mnono wa CCM kuelekea 2020 kwa sababu:
1. CCM imeweza kutekeleza ahadi zake zote za 2015
2. CCM inamgombea urais anayekubalika 100% na hana mpinzani ndani na nje ya chama.
Absolutely true. Na mwanadamu hazijui nyakati.