Kuzimua... Kutoa lock[emoji38][emoji38]Weitaaa zungushaa.
Akh kumbe bado asubuhi. Wale wa kuzimua karibuni.
Rafiki twende tukanywe mirinda nyeusiMiongoni mwa raha nnazozikosa bila kujutia.
Mama mchungaji ukilewa unaweza kujikuta umetoa mzigo kwa house boyUnaweza kunywa kodi alafu kesho unamkimbia mama mwenye nyumba.