Raha ya rusha roho

Raha ya rusha roho

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
1,585
Reaction score
1,073


Jahazi Modern Taarab - Mkuki (Live)

Unaweza kumruhusu mke wako kwenda kwenye maonyesho ya taarabu/rusha roho?
 
Last edited by a moderator:
Kwani hii kitu inafundisha nini katika jamii??
 
ah mie ninachoona hapo ni wanawake wachache walioenda kwenye taarabu kucheza kwa stail ya kutingisha maungo yao ikiwemo makalio... haina uhusiano na mke wa mtu kwenda kwenye taarabu, mtu aweza kucheza akatingisha kichwa, miguu, mikono, makalio popote tu si lazima kwenye taarabu. acha watu wajilie raha zao.. shake shake whatever u have hata kama ni manyonyo tumbo n.k.!
 
stress nyingi jamani acheni watu waziondoe taratibu.
 
stress nyingi jamani acheni watu waziondoe taratibu.

LOL senks kwa kusikiliza kilio cah wadau apo kwen avatar sasa wenye roho zao zinazopiga 160/min nadhani zitatulia sasa😀
 
LOL senks kwa kusikiliza kilio cah wadau apo kwen avatar sasa wenye roho zao zinazopiga 160/min nadhani zitatulia sasa😀
amesikiliza kilio chako hata hivyo🙂🙂
 
DSC_1193.JPG
 
Mmmh huyu Mdada naona kajikoboa mwili mzima ..hiyo ndo rusha roho gani?
wa pembeni yake sijui ni mwanamme au mwanamke maana hiyo miguu kasheshe
 
Hii ndio Tanzania zaidi uijuavyo, hapo kama kuna mtu ana TB au Meningitis au hata Flu atasambazaje huo ugonjwa? Starehe tunapenda sana wabongo ila afya zetu kwa ujumla hatuzidhamini kabisa, hapa ni full kujazana sio poa kiafya hata kidogo.
 
siku hizi mavazi ya kina dada khaa yanachanganya...vivazi gani hivyo ?
 
Back
Top Bottom