johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
CCM ni kokoro by John Komba ripCcm imekuwa ng'ombe aliyenona. Kila mtu anamtamani, kwa nini haikuwa hivi awali?
Mbona kabla ya 2015 haikuwa hivi?CCM ni kokoro by John Komba rip
Hata wewe unaweza.......kwani bungeni kuna kazi gani ya kumshinda std 7?!
Watu walikuwa wanapiga dili!Mbona kabla ya 2015 haikuwa hivi?
Sawa basi CCM OYEEE Udumu Ufalme...Hata wewe unaweza.......kwani bungeni kuna kazi gani ya kumshinda std 7?!
James Mbowe anagombea Moshi mjini!Sawa basi CCM OYEEE Udumu Ufalme... View attachment 1506833
Kwa hiyo kupiga dili kulizuia watu wasichukue fomu kwa wingi?Watu walikuwa wanapiga dili!
Kwa hiyo kupiga dili kulizuia watu wasichukue fomu kwa wingi?Watu walikuwa wanapiga dili!
Ndio Ufalme wote huyo Udumu milele... People's PowerJames Mbowe anagombea Moshi mjini!
Ndio..... Milioni 200 wanayoisubiri wabunge kwa miaka mitano wapiga dili waliipata kwa siku mbili tu!Kwa hiyo kupiga dili kulizuia watu wasichukue fomu kwa wingi?
Chadema wamapandikiza mamluki wengi ccm, kifo Cha ccm linakuja kwa kasi,Ni kwamba hakuna anayekubali kubakia nyuma kila mtu sasa anataka kuwa mbunge ili afaidi mema ya uchumi wa kati.
Usipochukua fomu za kugombea ubunge unaonekana ni mshamba au ni mbahiri usiyetaka kuchangia chama.
Ngoja tuone kama na kesho foleni ya kuchukua fomu itakuwa ndefu kama ya leo.
Hongereni Ufipa maana kuna majimbo hakuna wagombea au kuna mgombea mmoja tu kama Bunda mjini.
Maendeleo hayana vyama!